Rio amvulia kofia Messi
Lionel Messi alikuwa sehemu ya timu ya FC Barcelona iliyocheza mchezo wake wa marudio Nou Camp dhidi yaManchester United, Lionel Messi aliwezesha ushindi wamagoli 3-0 na akafanikiwa kufunga mawili katikaushindi huo.
Kama unakumbuka Lionel Messi mchezo wao wa kwanza RoOld Trafford aliumizwa na Chriss Samallimg lakini beki wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand amemvulia kofia Messi kutokana na kiwangochake alichokionesha lakini ameonekana kama alikuwamzima tu na kuwadhiirishia Manchester United yuposawa.
“Nikama alikuja akiwa mzima tu hiki ni moja kati yakiwango kizuri nilichowahi kukishuhudia, Smalling alimuumiza yeye (Messi) katika mchezo wa kwanza, huenda ni kitu kibaya kingeweza kutokea lakini ameamka akiwa mnyama mkali, mchezaji wa uwezo huukuna wakati inabidi tu useme tu, kuwa hapa kuna watukatika huu uwanja wanaweza kusema nimekuja hapa nimekuja kwa ajili ya kumuangalia Messi pekee” alisema Rio