Son atoa msaada wa Milioni 300 nchini kwao
Staa wa Tottenham Heung Min-Son ametoa msaada wa Pauni 100,000 (Tsh Milioni 300) kwa wahanga wa mlipuko wa moto uliotokea hivi karibuni nchini kwao Korea kusini na kusababisha uharibu wa nyumba takribani 400 huku watu wawili wakithibitika kufariki dunia. Moto huo ulikatiza eneo la milima kaskazini-mashariki mpaka karibu na mipaka ya Korea Kaskazini. Mamlaka wamesema …