Msuva atoa mtazamo wake kuhusu kundi la Tanzania AFCON 2019
Tanzania imepangwa Kundi C katika kushiriki michezo ya fainali ya Kombe la mataifa ya Afrika 2019 nchini Misri itakayoshirikisha jumla ya timu 24, Tanzania ipo Kundi moja na Senegal ambao wanajiita Simba wa Teranga, Algeria ambao wanajulikana kama Mbweha wa Jangwani na Kenya Harambee Stars. Kundi hilo sio jepesi na baadhi ya watu wameanza kuweka …