Lewandowski na Coman warushiana ngumi mazoezini
Wachezaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski na Kingsley Coman wameripotiwa kupigana jana alhamisi mazoezini na kuamuliwa na wachezaji wenzao. Kwa mujibu wa gazeti la Bild la Ujerumani, wachezaji hao walitenganishwa na Jerome Boateng na Niklas Sule. Bild wameripoti kuwa ugomvi huo ulitokana na Lewandowski kuongea maneno ambayo yalimkasirisha Coman. Wachezaji hao walirushiana maneno kabla ya …