Costa amaliza msimu kwa staili yake
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Diego Costa amefungiwa mechi nane na shirikisho la soka la Hispania kwa kosa kumtukana mwamuzi Jesus Gil katika kipigo cha 2-0 kutoka kwa Barcelona Jumamosi iliyopita. Kifungo hicho ina-maana Mhispania huyo atakosa mechi kipindi chote cha msimu kilichobaki kwani Atletico Madrid wamebakisha mechi saba katika LaLiga msimu huu. Costa amefungiwa mechi …