Mbaraka Yusuph nje ya uwanja miezi tisa
Mshambuliaji wa Klabu ya Azam Mbaraka Yusuph atakaa nje ya Uwanja kwa muda wa miezi tisa ijayo baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti jijini Cape Town, Afrika Kusini jana. Mbaraka amekutwa na tatizo la kuchanika mtulinga wa kati wa goti lake la mguu wa kulia (Anterior Cruciate Ligament Tear), hali iliyolazimika afanyiwe upasuaji huo. Mchezaji …