De Bruyne awashangaa wanaosifia uwanja mpya wa Spurs
Nyota wa Man City Kevin de Bruyne amegoma kufuata upepo wa watu wanaoendelea kusifia uwanja mpya wa Tottenham Hotspur uliozinduliwa wiki iliyopita. Kuelekea mechi ya robo fainali klabu bingwa Ulaya kesho kati ya Tottenham Hotspur na Man City itakayopigwa katika uwanja mpya wa Spurs,KDB amesema haoni kama ni kitu cha maana watu kuendelea kuusifia uwanja …