Mputu asema kipigo walichokiandaa kwa Simba
Kama kawaida mchezo ukimalizika ni kawaida kwa waandishi wa habari kwenda kupata tathmini ya mchezo kwa kocha, nahodha au mchezaji wowote Yule kutoka pande zote mbili. Baada ya mchezo wa TP Mazembe na Simba SC kumalizika kwa matokeo ya 0-0 hapoa jana tulimtafuta moja kati ya wachezaji muhimu wa TP Mazembe Tresor Mputu na kumuuliza …