Harry Kane awatetea wachezaji wa England wanaobaguliwa
Ukichilia mbali nyota wa Juventus Moise Kean kubaguliwa huko Italia mwenzake, hivi karibuni wachezaji wa timu ya taifa ya England wenye ngozi nyeusi walibaguliwa kwa kupigiwa kelele za nyani wakati wakicheza mchezo wa kuwania kucheza fainali za Euro 2020 dhidi ya Montenegro ugenini. Baadhi ya wachezaji hao waliobaguliwa ni pamoja na Danny Rose na Raheem …