Bocco ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora
Mshambuliaji wa timu ya Simba SC , John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa 2018/2019. Bocco ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda wenzake wawili, Donald Ngoma wa Azam FC na Jaffari Kibaya wa Mtibwa Sugar SC alioingia nao fainali. Bocco atazawadiwa sh. 1,000,000 (milioni moja) …