Wachezaji wa Bolton wagoma kisa Mshahara
Wachezaji wa klabu ya Bolton inayoshiriki ligi ya Championship nchini England leo wameanza mgomo wa kutokwenda mazoezini mpaka pale wao na wafanyakazi wa klabu watakapolipwa mishahara ya mwezi Machi. Mishahara yao ya mwezi walitakiwa kulipwa Ijumaa iliyopita Machi 29, lakini mpaka leo jumatatu mchana akaunti zao hazipata chochote. Huu ni mwezi wa pili mfululizo wanacheleweshewa …