Gigi Buffon alimkatalia Ferguson kuja Man United mara 3
Mlinda mlango wa klabu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa Gianluigi Buffon ameeleza ukweli kuwa hakuwa na dhamira au nia ya kucheza Ligi Kuu ya nchini England kwani amewahi kupata ofa mara kadhaa kutoka katika vilabu viwili vya Ligi hiyo lakini alikataa. Buffon mwenye umri wa miaka 41 kwa sasa , ameichezea Juventus ya …