Ben Arfa asema kwa nini alimcheka kocha wa Arsenal
Winga wa zamani wa vilabu vya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa na Newcastle United ya nchini England Hatem Ben Arfa ameeleza kwa nini alimcheka kocha wake wa zamani Unai Emery anayeifundisha Arsenal ya nchini England kwa sasa wakati wamchezo wa Europa League wa hatua ya 16 bora. Hatem Ben Arfa kwa sasa anachezea Rennes …