KIBALI CHAMKWAMISHA AMBOKILE KUCHEZA KATIKA TIMU YAKE
Mshambuliaji wa Klabu ya Mbeya city ambae kwa sasa yupo katika timu ya Black Leopard ya Afrika kusini kwa majaribio tangu January 30 mwaka huu alipojiunga na Klabu hiyo amesema kuwa kwa sasa tayari ameishaimarika kucheza katika timu yake kinachosubiriwa ni kibali tu cha kumruhusu yeye kuanza kucheza. Mshambuliaji huyo mpaka anaondoka katika timu yake …