NYOTA MWENYE ASILI YA KITANZANIA KAZIDI KUAMINIWA BUNDESLIGA
Klabu ya RB Leipzig ya nchini Ujerumani imezidi kuwa na matumaini na imani na mshambuliaji wao wa kimataifa wa Denmark mwenye asili ya Tanzania Yussuf Yurary Poulsen baada ya kuamua kumuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu yao. Poulsen ambaye amedumu na timu ya RB Leipzig kwa muda mrefu sasa ameongezwa mkataba mpya wa miaka …