Ally Bushiri afutwa kazi Mbao FC
Klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imeripotiwa kuwa imefanya tena maamuzi mazito kuhusu kikosi chao kukumbwa na mwenendo usiofurahisha kiasi cha kuamua kumuondoa kocha wao aliyekuwa kadumu na klabu hiyo kwa muda mchache tu toka ateuliwe. Mbao FC jana Machi 18 imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wake mkuu Ally Bushiri kutokana na kutoridhishwa na …