Kocha wa Lesotho ajipanga kuwaua Cape Verde
Lesotho wamebakisha ushindi wa mechi moja tu kufuzu katika michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza katika historia ya soka lao. Kocha wao raia wa Afrika Kusini Moses Maliehe ameamua kutumia rasimali za nchini kwake ili kuiwezesha Lesotho kufuzu michuano hiyo. Maliehe anaamini atafanya vizuri kwenye mchezo huo dhidi ya Cape Verde utakaochezwa katika ardhi …