Yanga yapigwa faini ya milioni 6
Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ijulikanayo kama kamati ya saa 72 ,imeitoza faini ya jumla ya sh.milioni 6 Klabu ya Yanga kwa makosa mawili , ya kuingia Uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi pia kwa kutoingia vyumbani wakati wa mapumziko katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya KMC, uliochezwa Machi 10 …