Baada ya miaka 10 Valencia kuondoka Man United
Kocha wa muda wa Man United Ole Gunnar Solksjaer amefungua mlango wa kuondoka kwa nahodha Antonio Valencia ambaye amekuwa ni mtumishi wa timu hiyo kwa miaka 10. Valencia amecheza mechi nane tu msimu huu na mechi ya mwisho kucheza ni Januari 2. Man United wanahitajika kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja kabla ya saa 11 jioni …