Jose Mourinho amkataa Mbappe
Kocha wa zamani wa timu za Manchester United, Chelsea na Real Madrid Jose Mourinho ambaye anahusishwa kuwa mbioni kuanza kazi ya ukocha kwa mara nyingine tena mwisho wa msimu huu baada ya kufutwa kazi Desemba 2018 Man United ameeleza kuwa kwa sasa kwa upande wake anaamini kuwa mshambuliaji wa PSG Kylian Mbappe ndiye mchezaji ghali …