Rais Magufuli atoa zawadi ya viwanja kwa Taifa Stars
Rais Magufuli ametoa zawadi ya viwanja kwa kila mchezaji wa Taifa Stars na bondia Hassan Mwakinyo kufuatia kazi nzuri waliyoifanya ya kulipa heshima Taifa la Tanzania. Pia wachezaji wa zamani wa Taifa Stars Peter Tino na Leodegar Tenga nao wamepewa zawadi ya viwanka Viwanja hivyo watakavyopewa vipo mkoani Dodoma. Rais huyo ametoa zawadi hizo leo …