Shujaa wa 1979 Ndola ni Joel Bendera, Shujaa wa kesho Temeke ni wewe Mtanzania
Joel Bendera ndiye shujaa aliyeipeleka Tanzania katika michuano ya AFCON mwaka 1980, hayo ni maneno ya nyota wa zamani wa Taifa Stars Peter Tino. Agosti 26, 1979 Tanzania ilikuwa inahitaji sare yoyote tu mjini,Ndola Zambia ili ifuzu kwenye michuano ya AFCON 1980 Nigeria, Hii ni baada ya kushinda goli 1-0 jijini Dar es salaam uwanja …