UEFA yamshitakk Neymar
Mchezaji wa PSG Neymar Jr ameshitakiwa na shirikisho la soka barani Ulaya UEFA kwa maneno yake aliyotoa dhidi ya waamuzi wa mchezo wa timu yake dhidi ya Man United Machi 6, ambapo mechi hiyo iliisha kwa United kushinda goli 3-1 na kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa. Goli la penati la …