Okwi kuwaleta ndugu zake kesho Dar
Timu ya Taifa ya Uganda ambao wameweka kambi nchini Misri, wanataraji kuondoka nchini humo kesho Ijumaa kuelekea Dar es salaam,Tanzania kwa ajili ya mechi yao ya mwisho ya kufuzu AFCON 2019 dhidi ya Tanzania itakayocheza Jumapili hii jijini Dar es Salaam. Uganda ambao tayari wamefuzu michuano hiyo wakiwa na jumla ya pointi 13 mpaka sasa, …