Giggs amjibu Zlatan
Zlatan Ibrahimovic aliamua kuwatolea uvivu wakongwe wa zamani wa Manchester United Ryan Giggs, Paul Scholes pamoja na mwenzao Gary Neville ambao kwa sasa awamekuwa wakifanya kazi za uchambuzi wa soka katika vituo vya TV, ukosoaji wa manguli hao umewafanya Zlatan aamua kuwapiga dongo. Kutokana na aina ya uchambuzi wao wa kusema na kukosoa baadhi ya …