Suarez kukaa nje kwa wiki 2
Klabu ya Barcelona leo imetangaza kuwa baada ya vipimo kufanyika, mshambuliaji wao Luis Suarez atakuwa nje ya uwanja kwa siku 10 mpaka 15 kutokana kuumia kifundo cha mguu kwenye mchezo wa jana dhidi ya Real Betis. Wakati akiendelea kujiuguza mchezaji huyo amejitoa kwenye kikosi cha timu yake ya Taifa ya Uruguay ambayo inataraji kucheza na …