SPURS ITACHEZA NA MANCHESTER CITY MARA TATU NDANI YA SIKU 11
Ratiba ya mechi za robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya zimepangwa jana kwa timu zote nane kupata nafasi ya kujua mshindani wake katika hatua hiyo baada ya droo kuchezwa, timu za England Manchester City na Tottenham Hotspurs zimepangwa pamoja. Droo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imezipanga Manchester City na Tottenham …