Kikosi cha wachezaji 24 ambacho kimetajwa leo kuunda timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20
Kikosi cha wachezaji 24 ambacho kimetajwa leo kuunda timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) itakayocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Eritrea, Machi 31, 2019. Ramadhan Kabwili – Yanga. Ali Salim – Simba SC. Zubeiry Masoud – Makongo. Israel Mwenda – Alliance FC. Nixson Kibabage – Mtibwa Sugar. Hans …