Taifa Stars kuingia kambini Machi 17
Kikosi cha wachezaji walioitwa katika Timu ya Taifa ya Tanzania ” Taifa stars ” kinatarajia kuingia kambini Machi 17 mwaka huu ( jumapili) kwenye hotel ya seascape iliyopo mbezi beach Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda Katika mchezo huo …