CAF yampiga faini Himid Alhadad
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limempiga faini ya dola 18,000 Mshambuliaji wa Zamalek ya Misri Hamid Alhaddad raia wa Morocco kwa kosa la kufanya kitendo kilichotafsiriwa kuwa cha dharau kwa timu ya Gor Mahia ya Kenya. Hamid alisimama juu ya mpira kwa sekunde kadhaa katika mechi ya kombe la Shirikisho Afrika iliyoisha kwa Zamalek …