Zidane Kurejea Real Madrid
Imeripotiwa kuwa Uongozi wa Real Madrid umefikia muafaka na Kocha Zinedine Zidane kwa yeye kupatiwa mkataba wa muda wa kukinoa kikosi cha Real Madrid kwa muda mpaka mwisho wa msimu huu.
Imeripotiwa kuwa Uongozi wa Real Madrid umefikia muafaka na Kocha Zinedine Zidane kwa yeye kupatiwa mkataba wa muda wa kukinoa kikosi cha Real Madrid kwa muda mpaka mwisho wa msimu huu.
Watani wa Jadi Yanga na Simba wapigwa faini kwa makosa waliyoyafanya katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara, uliowakutanisha Februari 16 mwaka huu. Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema kuwa kulikuwa na vitendo vya ajabu katika mchezo huo kitu ambacho kilipelekea kamati ya masaa 72 kukaa na kutoa maamuzi juu ya Vilabu …