Raneiri apata kibarua siku 8 tangu afukuzwe Fulham
Zikiwa zimepita siku nane tangu atimuliwe Fulham, Claudio Ranieri leo ametangazwa kuwa kocha mpya wa AS Roma akichukua nafasi ya Di Francesco aliyefutwa kazi jana alhamisi.
Ranieri ambaye amewahi kuifundisha Roma kati ya mwaka 2009 na 2011, amepewa kandarasi ya kuiongoza timu hiyo mpaka mwisho wa msimu huu