Rais wa Madrid amkataa Jose Mourinho
Baada ya kuzuka kwa uvumi kuwa Real Madrid ipo mbioni kumrudisha kocha wake wa zamani mreno Jose Mourinho ambaye hana timu kwa sasa toka apoteze ajira yake kwa matokeo mabovu ndani ya Manchester United mwezi Desemba 2018, Rais wa zamani wa Real Madrid hajakubaliana na hilo. Ramon Calderon ambaye ni Rais wa zamani wa Real …