Simba vitani kesho dhidi ya Stand
Baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kuendelea kwa mchezo minne leo,Kikosi cha Simba kitashuka Dimbani kesho dhidi ya Stand United katika Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Msemaji wa Klabu ya Simba Haji Manara amesema kuwa mchezo huo ni mchezo muhimu na ni sehemu ya mwisho ya maandalizi ya mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi …