Solskjaer aitajirisha Molde FC
Klabu ya Man United imeilipa kiasi cha Pauni Milioni 1 (Tsh (Bilioni 3) klabu ya zamani ya kocha Ole Gunnar Solskjaer, Molde ya Norway baada ya kocha huyo kusaini mkataba wa kudumu wa miaka mitatu Old Trafford. Imeripotiwa kuwa Man United imeilipa pesa hizo timu hiyo ikiwa ni ishara ya shukurani kwa kumchukua kocha huyo …