Waziri Mwakyembe azindua logo ya AFCON
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe, leo Alhamis Februari 14,2019 amezindua nembo maalumu ya Fainali za Afrika za Vijana chini ya miaka 17 yatakayofanyika mwezi Aprili Tanzania ikiwa mwenyeji. Michuano hiyo ambayo itachezwa kuanzia April 14 mpaka 28, itajumuisha timu 8 ambazo zitakuwa katika makundi mawili, Tanzania ikiwa kundi A na …