MWINYI ZAHERA KAWAITA MASHABIKI WA YANGA“TWENDENI MKAIONE YANGA NYINGINE”
Leo ndio leo msemae kesho muongo, hii ndio siku mashabiki wa soka Tanzania watapata fursa pekee ya kushuhudia Dar es Salaam Derby kwa kushuhudia timu za Simba na Yanga zikicheza mchezo wake wa Ligi Kuu Tanzania bara mzunguuko wa pili msimu wa 2018/2019 ndani ya uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kama ilivyo ada kwa …