Fei Toto na Gadiel Michael kuwakosa Mbao
Wachezaji wawili wa Klabu ya Yanga ambae ni Kiungo Feisal Salum” fei Toto ” na Beki Gadiel Michael wataukosa mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mbao FC ya Mwanza kwa kuwa na kadi tatu za njano. Mchezo huo utachezwa februari 20 mwaka huu (jumatano) katika Uwanja wa CCCM kirumba Jijini Mwanza. Mratibu wa …