Tambwe kuwakosa wagosi wa Kaya
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Amisi Tambwe hatakuwa sehemu ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa Februari 3 mwaka huu (jumapili) kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga kutokana na kuwa majeruhi. Tambwe aliumia jana kwenye mchezo wa Kombe la shirikisho FA dhidi ya Biashara United ambapo katika mchezo huo Yanga iliibuka …