Yanga SC hawalazi damu
Kikosi cha Yanga SC kimeondoka leo jijini Tanga kikielekea Mkoani Singida kwaajili ya mchezo wa Ligi kuu utakaochezwa Februari 6 dhidi ya Singida United katika uwanja wa Namfua. Kaimu mwenyekiti wa Klabu hiyo Samweli Lukumay amesema kuwa japo matokeo ya sare ya jana yamewaumiza ila hawakati tamaa na watahakikisha wanafanya vizuri katika mchezo wao …