Ferguson atoa sababu za kushindwa kumleta Maldini Old Trafford
Wengi wanatamani kujua ni nini kilitokea pale ambapo kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson alipojaribu kutaka kumsajili legend wa AC Milan Paulo Maldini, basi jibu limepatikana na kila kitu kimewekwa wazi kupitia mitandao mbalimbali barani Ulaya. Ferguson ambaye ana umri wa miaka 77 kwa sasa wakati anaifundisha Manchester United alibahatika kusajili …