Kamati ya saidia Taifa Stars yakutana
Baada ya Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) kutangaza kamati ya saidia Taifa stars ishinde februari 20 mwaka huu,Kuelekea mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Afrika 2019 dhidi ya Uganda mwezi Machi kamati hiyo imeanza kufanya kazi leo. Mwenyekiti wa Kamati ya Saidia Taifa Stars Ishinde Mkuu wa Mkoa wa Dar es …