Kocha wa Leicester City atimuliwa
Leicester City wamemtimua aliyekuwa kocha wao mkuu Claude Puel baada ya mfululizo wa matokeo mabaya, jana wakitoka kupokea kipigo cha goli 4-1 kutoka kwa Crystal Palace wakiwa nyumbani King Power Stadium.
Kocha huyo ambaye amekuwa na timu hiyo kwa miezi 16, anaondoka pamoja na kocha wake msaidizi Jacky Bonnevay