Azam fc yawatimua Hans Van Der Pluijm na Mwambusi
Azam FC imesitisha mkataba wa kocha mkuu Hans Van Der Pluijm na wa kocha msaidizi Juma Mwambusi. Habari hii imekuja baada ya timu hiyo kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya na jana wametoka kupoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba kwa bao 3-1. Azam fc wanashika nafasi ya pili katika msimamo wa lig kuu …