Marc Bartra aeleza Xavi alivyomsaidia Barca
Mlinzi wa kati wa zamani wa FC Barcelona ya nchini Hispania anayeitumikia Real Betis kwa sasa Marc Bartra amekiri kuwa moja kati ya vitu vilivyomjenga katika soka lake ni pamoja na maneno ya hekima ya mkongwe wa Barcelona wakati huo Xavi Hernandez. Marc Batra ambaye ana umri wa miaka 28 kwa sasa ni zao la …