Usaliti wamfanya Martial kuomba msamaha hadharani
Staa wa Man United Anthony Martial ametumia mtandao wa Instagram kuomba msamaha kwa mchumba wake Melania da Cruz kufuatia tuhuma zinazomkabili mchezaji huyo za kumsaliti mpenzi wake wakati akiwa na ujauzito. Martial,23,aliripotiwa kumsaliti mchumba wake kwa kutoka kimapenzi na mwanamitindo wa Ufaransa Malika Semich mwaka jana mwezi Julai. . “ Ningependa kuomba msamaha kwa ndugu …