Marcelo Biesla awaponza Leeds United
Klabu ya Leeds United imetiwa hatiani na wasimamizi wa Ligi ya Champioship nchini England wanaojulikana kwa jina la (EFL), Leeds imetiwa hatiani na kupigwa faini ya pauni 200000 kama fidia baada ya kugundulika kwenda kuwafanyia upepelezi Derby County. Kwa kawaida hairuhusiwi kwenda katika mazoezi ya mpinzani wako kwenda kufanya upelelezi (spy), hivyo Leeds United wamekutana …