Mnyama aunguruma tena Taifa,safari hii dhidi ya Yanga
Mtanange wa watani wa jadi umepigwa leo katika dimba la uwanja wa Taifa, mashabiki wa Simba wakifurika kwa wingi kuwashinda wapinzani wao Yanga . Pengine ushindi dhidi ya Al Ahly katika mechi ya jumanne hii iliwapa kiburi zaidi mashabiki wa Simba na kuwafanya kutinga uwanjani bila uoga. Wachezaji wa Simba SC hawakuwa nyuma kuwaongezea kiburi …