Spurs kumpiga kitanzi Son
Nyota wa Tottenham Son Heung-Min alisaini mkataba mpya katika timu hiyo mwezi Julai mwaka jana, lakini Spurs sasa wanataka kumpa mkataba mpya mwingine kufuatia kiwango chake ambacho amekionesha mpaka sasa msimu huu. Imeripotiwa kuwa mazungumzo ya dili hilo yatafanyika kwenye majira ya kiangazi mwaka huu ikiwa ni njia ya kuendelea kumshikilia mchezaji huyo kutoka Korea …