Ripoti ya Sala imetolewa rasmi
Baada ya mwili wa mshambuliaji wa Kiargentina aliyekuwa anaichezea Nantes FC ya nchini Ufaransa Emiliano Sala kupatikana ukiwa chini ya bahari kwenye ndege ndogo waliyokuwa wanasafiria Sala na rubani wake David Ibbotson kutokea Nantes kurudi Cardiff City sasa imetolewa ripoti ya uchunguzi. Mwili huo ulipatikana na kwenda kufanya uchanguzi Maabara kuweza kutambua ni mwili wa …